Soko kuku wa kienyeji

Shayla

Senior Member
Mar 25, 2014
193
129
Wadau nauza kuku wa kienyeji na bata jumla na rejareja, natafuta soko la kuuza kwa jumla dar es salaam. Naomba mnisaidie wadau anayejua anipm. Natanguliza shukrani zangu.
 
Nipo mbezi ya kimara. Kuku ni 12 mpaka 20. inategemea na ukubwa. Bata 20 mpaka 25. pia inategemea na ukubwa. Kama utapenda mbuzi pia wapo.
 
Kamilisha tangazo lako kwa namba ya simu na bei kuendana na ukubwa wa kuku au achana na mambo ya mtu akupm haswa kwenye biashara ambayo unataka upate wateja
 
mkuu niko mbezi nataka kuku kumi na tano ila kwa 8000 nipm au nipe number yako nitawafwata uliko
 
Asante mkuu kwa ushauri. Anayehitaji anaweza kunitafuta kwa no 0758065919
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom