Soko kubwa la Mandela Sumbawanga lateketea kwa moto

Soko kubwa la Mandela Sumbawanga lateketea kwa moto

1477782565698.jpg
1477782577939.jpg
1477782584308.jpg
1477782565698.jpg
 
Duu! Nami nimepata habari hizo toka Kwa jirani yangu alikuwa anawahamishia bidhaa ambazo hazikuungua baadhi ya wahanga.poleni sana vijana wote wa kuku,samaki mbogamboga na nafaka zote!!
 
Ukion hvy ujue linatak kujengwa upya,kwa Tanzania hii nahis ni morogoro tu ndio waliamua kuham kwa hiari bila moto lkn masoko mengi sana km lile la mbeya,masasi na maeneo mengi tu hizo ndio staili sijui kwann!
 
Ukion hvy ujue linatak kujengwa upya,kwa Tanzania hii nahis ni morogoro tu ndio waliamua kuham kwa hiari bila moto lkn masoko mengi sana km lile la mbeya,masasi na maeneo mengi tu hizo ndio staili!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom