Soko jingine mbeya lawaka moto. Ni la Uyole

Daniel Anderson

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
872
140
Jaman taarifa zisizo rasmi zinasema soko la bidhaa za mlaji la Uyole mkoani MBEYA linateketea hivi sasa kwa moto.
Tunaomba mliopo huko mtujuze zaidi.
 
zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,875
1,215
Jaman taarifa zisizo rasmi zinasema soko la bidhaa za mlaji la Uyole mkoani MBEYA linateketea hivi sasa kwa moto.
Tunaomba mliopo huko mtujuze zaidi.

Umekariri masoko ya mbeya sasa unazusha hbr. Kama hbr si Rasm ungefatilia ndo u2me hyo thread yako.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom