Soka la Kiafrika lina Mambo Mengi sana

Josh J

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
1,268
2,000
Wakuu Mpira wa Afrika una mambo mengi sana, yaani ukiziangalia hizi mechi mbili ile ya kwanza kule SA na hii ya jana Temeke unaona kuna nguvu kubwa sana inatumika nje ya uwanja.

Ukiitizama Simba iliyocheza SA na Simba ya jana ni timu mbili tofauti kabisa.

Pia ukiitizama Kaizer Chiefs ya jana na ile Kaizer Chief's ya last week Huko SA ni timu mbili tofauti kabisa.
 
Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
8,319
2,000
Wakuu Mpira wa Afrika una mambo mengi sana,yaani ukiziangalia hizi mechi mbili ile ya kwanza kule SA na hii ya jana Temeke unaona kuna nguvu kubwa sana inatumika nje ya uwanja.
.....
Ukiitizama Simba iliyocheza SA na Simba ya jana ni timu mbili tofauti kabisa.
.....
Pia ukiitizama Kaizer Chiefs ya jana na ile Kaizer Chief's ya last week Huko SA ni timu mbili tofauti kabisa.
Kwa mawazo ya aina hii, itachukua miaka mingi sana kwa Bara la Afrika kupiga hatua kubwa ya kimaendeleo kama wenzetu wa Ulaya na Marekani.
 
ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
5,371
2,000
Si useme tu Simba wachawi mbona unazunguka?
Na hii mechi imekua ni ushahidi mzuri sana hata kwa yanga kufanywa wawe wazito kwenye kuzifumania nyavu eti Sapong hafungi ooh nchimbi hajafunga mwaka mzima...
Yote hiyo ni simba kuhangaika kwa waganga kuwafunga kichawi wachezaji wetu yanga
Sasa Kaizer jana wamekua wazito hawajitambui hata kupokea pasi mtu hawezi! Hata kukimbia ni shida kuna mmoja alitakabku chop mpira amfunge Manula Dah alikakamaa miguu palepale wote tumeshuhudia
Simba wanachafua taswira ya soka nchini kwa kutegemea uchawi na si uwezo kama yanga.Ns kumbe ukichunguza sana game zingine alizoshinda simba champions league ilikua ni nguvu za giza tu...mfano alivyomshinda mwarabu na As Vita
 
Satoh Hirosh

JF-Expert Member
Mar 30, 2021
627
1,000

Mbn unateseka mkuu..Yule alibanwa na msuli ndy maana Hali ilikuwa vile,hakuna kulogwa pale
 
Cvez

JF-Expert Member
May 19, 2018
1,793
2,000
Si useme tu Simba wachawi mbona unazunguka?
Na hii mechi imekua ni ushahidi mzuri sana hata kwa yanga kufanywa wawe wazito kwenye kuzifumania nyavu eti Sapong hafungi ooh nchimbi hajafunga mwaka mzima...
Yote hiyo ni simba kuhangaika kwa waganga kuwafunga kichawi wachezaji wetu yanga
Sasa Kaizer jana wamekua wazito hawajitambui hata kupokea pasi mtu hawezi! Hata kukimbia ni shida kuna mmoja alitakabku chop mpira amfunge Manula Dah alikakamaa miguu palepale wote tumeshuhudia
Simba wanachafua taswira ya soka nchini kwa kutegemea uchawi na si uwezo kama yanga.Ns kumbe ukichunguza sana game zingine alizoshinda simba champions league ilikua ni nguvu za giza tu...mfano alivyomshinda mwarabu na As Vita
Ndugu una hasira ndugu, yule Dereva mumtaarifu mapema afanye uhakiki wa bus mapema atahitajika sana kuokoa timu tarehe 3
 
Zarumenda

Senior Member
May 24, 2020
117
250
Si useme tu Simba wachawi mbona unazunguka?
Na hii mechi imekua ni ushahidi mzuri sana hata kwa yanga kufanywa wawe wazito kwenye kuzifumania nyavu eti Sapong hafungi ooh nchimbi hajafunga mwaka mzima...
Yote hiyo ni simba kuhangaika kwa waganga kuwafunga kichawi wachezaji wetu yanga
Sasa Kaizer jana wamekua wazito hawajitambui hata kupokea pasi mtu hawezi! Hata kukimbia ni shida kuna mmoja alitakabku chop mpira amfunge Manula Dah alikakamaa miguu palepale wote tumeshuhudia
Simba wanachafua taswira ya soka nchini kwa kutegemea uchawi na si uwezo kama yanga.Ns kumbe ukichunguza sana game zingine alizoshinda simba champions league ilikua ni nguvu za giza tu...mfano alivyomshinda mwarabu na As Vita

Chaajabu CAF wanaendelea kutuongezea nafasi zaushiriki wakati wanajua tunachafua taswira ya soka nchini
 
Isaac

Verified Member
Jan 4, 2009
870
500
Si useme tu Simba wachawi mbona unazunguka?
Na hii mechi imekua ni ushahidi mzuri sana hata kwa yanga kufanywa wawe wazito kwenye kuzifumania nyavu eti Sapong hafungi ooh nchimbi hajafunga mwaka mzima...
Yote hiyo ni simba kuhangaika kwa waganga kuwafunga kichawi wachezaji wetu yanga
Sasa Kaizer jana wamekua wazito hawajitambui hata kupokea pasi mtu hawezi! Hata kukimbia ni shida kuna mmoja alitakabku chop mpira amfunge Manula Dah alikakamaa miguu palepale wote tumeshuhudia
Simba wanachafua taswira ya soka nchini kwa kutegemea uchawi na si uwezo kama yanga.Ns kumbe ukichunguza sana game zingine alizoshinda simba champions league ilikua ni nguvu za giza tu...mfano alivyomshinda mwarabu na As Vita
Kama kwa mpira na spirit ile waliyokuwa nayo Simba ni nguvu za uchawi basi uchawi ni mzuri kuliko sala.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom