umelijua lini soka la bongo
Tukuyu stars ya mwaka 1985 ilikuwa kama Barca!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Wachezaji wa Azam wakishangilia Jana Uwanja wa Sokoine. Kulia John Bocco amemkumbatia Mwaikimba
Ligi kuu ya voda com inakwenda ukingoni. Pamoja na ligi hiyo kwenda ukingoni tumeshuhudia ubabaishaji wa hali ya juu hasa kipindi hiki cha mechi za mwisho. Timu zilionyesha wazi kupanga matokeo.
Mfano mech ya simba na Azam. Simba na Ashante. Azam na Coastal. Pia waamuzi walionekana kuvurunda sana. Mfano leo pale mbeya watu wote wameona kilichotokea kwa mwamzi kutoa maamuzi yasiyo na stahiki.Azam imekuwa bingwa lakini soka lake halilidhishi kabisa.
Kuna timu zilikuwa bingwa Tanzania mfano Pan Africa chini ya washambuliaji mahiri kama Peter Tino. Ali katolila. Abdala Burhan. Zilitisha sana hakuna aliyelalamilka.
Pamba ilikuwa bingwa hakuna aliyelalamika. Majimaji. Tukuyu. Naomba TFF mjipange vzr ili madudu haya yasirudie tena mwakani.
Pamba iliwahi kuwa bingwa....Yaani Yanga na Simba wanadhani wao tu ndio wana haki miliki ya ubingwa.....Wameanza maneno ya fitna juu ya Ubingwa wa Azam.
Huo ubingwa wa fitna zimezoea Yanga na Simba,hamuwezi kujifananisha na Azam kwa ubora,wana uwanja,wana hostel,wana sehemu ya Gym,wanakula chakula kizuri na uwanja mzuri wa mazoezi...Nyie wengine mna shamba Boko kazi kupalilia bila maana,wengine mpo maporomokoni.Mpira ni sayansi sio majigambo na Siasa za Manji na Rage
kijana umezaliwa mwaka gani? .unamjua george masatu hussein masha john makelele niko bambaga haoni baadhi ya wachezaji wa pamba
umelijua lini soka la bongo
kama hayo yote unayoona ndo ubora wa Azam kushinda Simba na Yanga,mbona nao wajiingiza kwenye hizi fitna za kununua mechi?
Pamba iliwahi kuwa bingwa....Yaani Yanga na Simba wanadhani wao tu ndio wana haki miliki ya ubingwa.....Wameanza maneno ya fitna juu ya Ubingwa wa Azam.
Huo ubingwa wa fitna zimezoea Yanga na Simba,hamuwezi kujifananisha na Azam kwa ubora,wana uwanja,wana hostel,wana sehemu ya Gym,wanakula chakula kizuri na uwanja mzuri wa mazoezi...Nyie wengine mna shamba Boko kazi kupalilia bila maana,wengine mpo maporomokoni.Mpira ni sayansi sio majigambo na Siasa za Manji na Rage
tatizo mshakariri simba na yanga ndo sababu na mwakani tynabeba tena mpaka muache ujinga wa kukalili..
Pamba iliwahi kuwa bingwa....Yaani Yanga na Simba wanadhani wao tu ndio wana haki miliki ya ubingwa.....Wameanza maneno ya fitna juu ya Ubingwa wa Azam.
Huo ubingwa wa fitna zimezoea Yanga na Simba,hamuwezi kujifananisha na Azam kwa ubora,wana uwanja,wana hostel,wana sehemu ya Gym,wanakula chakula kizuri na uwanja mzuri wa mazoezi...Nyie wengine mna shamba Boko kazi kupalilia bila maana,wengine mpo maporomokoni.Mpira ni sayansi sio majigambo na Siasa za Manji na Rage
hahahaaaaa, hivi yanga hawajasombwa na mafuriko mkuu
Wakuu Pamba haijawahi kuwa Bingwa wa Ligi Tanzania Bara, ilikuwa Timu nzuri sana na uwezo wa kuwa Bingwa ilikuwa nao (kwa soka nzuri na ufadhili wa Bodi ya Pamba) lakini sadly haukuchukua Ubingwa..., Timu ambazo zimeshachukua Ubingwa ni:-
Tukuyu Stars (walipanda daraja mwaka huo huo wakachukua ubingwa na mwaka uliofuata wakashuka)
Coastal Union
Pan African
Mtibwa Sugar
Simba
Yanga na sasa
Azam
Sidhani kama nimeruka timu... (ila pamba haipo)
Wastani wa hoja za wacahngiaji unakubaliana bila ya kujijua na hoja ya mtoa mada. Walio wengi wanakubali kwamba 'Simba na Yanga' huwa zinahonga. Lakini timu hizo hazichezi ligi ya peke yao. Kama kuhonga, zitahonga timu nyingine kwenye ligi hiyohiyo, ikiwamo Azam yenyewe. Kwa hivyo kama ni hatia, mtoa na kupokea rushwa wote wana hatia. Sasa kama mchezo huo upo kweli. hata kama wahongaji ni timu hizo mbili, maana yake ni kwamba mwaka huu umefanyika pia. Hivyo kweli ligi hiyo ni ya ubabaishaji, hata kama bingwa angekuwa Ashanti. Aidha, hakuna mchangiaji yeyote aliyebisha madai ya mtoa mada kwamba refa aliboronga kwa faida ya Azam kwenye mechi na Mbeya City, iwe kwa makusudi au kwa bahati mbaya. Kwa asiye na upande kwenye hili, anashawishika kuamini kwamba mtoa mada yuko sahihi. Hasa ikitiliwa maanani mechi kadhaa zinazoihusu Azam ziliwahi kuchezeshwa namna hiyo misimu iliyotangulia. Mechi na Yanga iliyosababisha Cannavaro kufungiwa na Yanga kumpiga mwamuzi ilikuwa katika mazingira kama hao. Mwamuzi Ramadhan Ibada (Kibo) aliwahi kufungiwa kwa kuipendelea Azam kwenye mechi za Kimbe la Mapinduzi, iwe kwa makusudi au kwa bahati mbaya.Ndio maana kuna baadhi ya wachangiaji wamekuwa wakmtaka mwanzisha mada kuachana na wivu wakike. Bila ya kujijua, wachangiaji hao wanakusudia kwamba Azam iachwe ishinde kama ambavyo wanadhani Yanga na Simba zinashinda. Wastani wa hoja zote hizo ni kwamba kuna mushkeli mkubwa juu ya uungwana (fairness) wa matokeo ya mechi za Ligi ya Vodaco. Kwa maoni ya mtoa mada, huo ni ubabaishaji, na sitowashangaa wanaokubaliana naye. Ninaowangaa ni wanaotofautia naye huku wakijisema wenyewe kwenye hoja zao kwamba wanajua ukweli huo!
Pamba: Bingwa wa Muungano: 1 time
Tanganyika: -
Yanga: 24 times
Simba: 18 times
Mtibwa: 2 times
Coastal: 1time
Pan Africans: -ditto-
Tukuyu: -ditto-
Azam: -ditto-
Wapenzi wote wa Yanga tukubli matokeo, Azam ni bingwa halali. Nawatakia kila la heri.
Very true Mkuu, watu wanachanganya. Pamba imewahi kuchukua ubingwa wa "Muungano" na sio Tanganyika. Kwenye orodha yako ya mabingwa wa Tanganyika ongezea Cosmopolitan (1967) na Mseto (1975).