Pamba iliwahi kuwa
bingwa....Yaani Yanga na Simba wanadhani wao tu ndio wana haki miliki ya
ubingwa.....Wameanza maneno ya fitna juu ya Ubingwa wa Azam.
Huo ubingwa wa fitna zimezoea Yanga na Simba,hamuwezi kujifananisha
na Azam kwa ubora,wana uwanja,wana hostel,wana sehemu ya Gym,wanakula
chakula kizuri na uwanja mzuri wa mazoezi...Nyie wengine mna shamba Boko
kazi kupalilia bila maana,wengine mpo maporomokoni.Mpira ni sayansi sio
majigambo na Siasa za Manji na Rage
Ligi kuu ya voda com inakwenda ukingoni. Pamoja na ligi hiyo kwenda ukingoni tumeshuhudia ubabaishaji wa hali ya juu hasa kipindi hiki cha mechi za mwisho. Timu zilionyesha wazi kupanga matokeo. Mfano mech ya simba na Azam. Simba na Ashante. Azam na Coastal. Pia waamuzi walionekana kuvurunda sana. Mfano leo pale mbeya watu wote wameona kilichotokea kwa mwamzi kutoa maamuzi yasiyo na stahiki.Azam imekuwa bingwa lakini soka lake halilidhishi kabisa. Kuna timu zilikuwa bingwa Tanzania mfano Pan Africa chini ya washambuliaji mahiri kama Peter Tino. Ali katolila. Abdala Burhan. Zilitisha sana hakuna aliyelalamilka
.Pamba ilikuwa bingwa hakuna aliyelalamika. Majimaji. Tukuyu. Naomba TFF mjipange vzr ili madudu haya yasirudie tena mwakani.
Hivi pamba ilishakuwa Bingwa ?..., I doubt it najua kina Tukuyu pia walishakuwa mabingwa, cheki vizuri makabrasha yako mkuu
kijana umezaliwa mwaka gani? .unamjua george masatu hussein masha john makelele niko bambaga haoni baadhi ya wachezaji wa pamba
nahic alikuwa bingwa wa kombe la muungano.ila cyo ligi kuu baraHivi pamba ilishakuwa Bingwa ?..., I doubt it najua kina Tukuyu pia walishakuwa mabingwa, cheki vizuri makabrasha yako mkuu
umelijua lini soka la bongoHivi pamba ilishakuwa Bingwa ?..., I doubt it najua kina Tukuyu pia wualishakuwa mabingwa, cheki vizuri makabrasha yako mkuu