Soka limepiga hatua kiasi chake ila vilabu vya Tanzania havijui kulea wachezaji kisoka, wachezaji wanatakiwa wakae kambini kama wanajeshi nawapangiwe hata ratiba ya vyakula Samata na ulimwengu wako klabu kizuri.Tuombe Mungu Kapombe,Sureboy,Domayo,Kazimoto,Yondani Kiemba na wengine wapate vilabu bora vinavyojua kulea vipaji nje ya nchi hapo ndiyo tutafanikiwa.Si unaona vilabu vya bongo vilivyoua vipaji vya wanasoka kama Ngasa, Bobani,Tegete,etc.
Tukipata wachezaji zaidi ya 11 wakichezea vilabu kama TP Mazembe kombe la dunia tutashiriki bila ubishi
Tukipata wachezaji zaidi ya 11 wakichezea vilabu kama TP Mazembe kombe la dunia tutashiriki bila ubishi