- Ubora/Uzuri wa design hutegemea uwezo wa designer mwenyewe.
- Yoyote kati ya Adobe Premiere Pro, Sony Vegas Pro, Apple FinalCut Pro, Avid, Edius.
Tofauti ni preference ya mtumiaji. Mashabiki na wahafidhina wa Apple/Macintosh huwa na tabia kusifia products za apple na kuponda zingine mara nyingi unjustly.
Kwa maoni yangu tofauti na bingwa
Mphamvu (respect), Adobe Premiere Pro ni nzuri na powerful. Kitu ambacho ningelalamika kuhusu Premiere ni Uslow wake katika "vikompyuta" vyetu vyenye uwezo mdogo ila kuanzia Premiere Pro CS5 ambayo ni natively 64bit, ukiwa na Graphic Card ya Nvidia yenye technology ya Cuda (sorry for techy info, important anyway), Adobe Premiere inakuwa na uwezo mkubwa wanaouita Mercury Playback Engine ambao ni balaa!! Hata Ubora wa Products za Macintosh za Graphics zinatokana na kompyuta za Apple kuwa na specification za juu na ndiyo maana zinauzwa bei kubwa. Kama huna pesa ukanunua "kikompyuta" dhaifu usilaumu Adobe Premiere.
Kwa watu wa Windows ambao hawana kompyuta zenye nguvu sana Sony Vegas Pro itawafaa. Kwa upenzi wangu binafsi Adobe Premiere Pro CS6 is both beautiful and powerful.
Go Adobe Premiere.
NB. Vipindi na Matangazo ya Televisheni huwa na Graphics zenye mbwembwe (Motion Graphics) ambazo kwa kawaida hutengenezwa kwa programu zisizo za editing kama tulizozitaja... kama unataka mbwembwe hizo basi fuatilia Adobe AfterEffects na software yoyote professional ya 3D animation.