Software ya kutengeneza video/movie

Software ya kutengeneza video/movie

mkuu rahisi zaidi inaitwa wimdows movie maker inafanya vitu vyote basic na inakuja kwenye windows kama hutaikuta nenda website ya microsoft utaipata.

Mimi hapa ninayoipenda inaitwa magix video pro x5 hii ina feature nyingi sana japo si proffesional sana ila ni rahisi kutumia

inavitu kama hivi
-uwezo wa kueka text kwenye video
-kubadilisha sauti ya video kueka yako
-kukata na kuunga vipande vya video
-kuna effect mbali mbali za kueka kwenye video.

Magix ni ya kulipia so itafute torrent

Mkuu nisaidie jina la screen capture ambayo ina uwezo wakutoa sauti bila kukwaruza
 
SASA MBONA MOVIE ZA BONGO NI UTUMBO MTUPU.. WAKATI NAONA WATU WANAANGUSHA PROGRAM HUMU NA INAONYESHA WANAZITUMIA.. Au ni kwa ajili ya Kutengenezea Video za Harusi

mkuu ubora wa movie au film hautegemei ubora program aliyotumia katika editing pekee! kuna vitu vya kuzingatia ikiwemo location,vifaa vilivyotumika kurekodi na ujuzi wa kuvitumia! editing ni katika hatua za mwisho!
 
Ulead,sony vegas,avs studio,pinacle,adobe zote (ae na pro),final cut,cinemax4...hapo nimepanga kufuata urahisi wa kutumia.

hapo blue ndo mpango mzima katika editing lakini wengi wetu hatuna computer za mac kawani hizi window hazifanyi na hizo software! lakini FINAL CUT kwa sasa ndiyo program bora duniani!
 
Kama unataka kufanya editing ambazo ni simple, unaweza kutumia Windows Movie Maker ambayo huja na Windows.
Pia unaweza ukacheck hii hapa Camtasia video editing ipo poa sana na ni rahisi kuitumia maana sio pro video editor.
mbn mnataja software hizi..sisi tunatumia final cut pro vipi..?
 
mbn mnataja software hizi..sisi tunatumia final cut pro vipi..?

Hahahah...mkuu Final Cut Pro ipo advanced sana na package yake ni kubwa...
Jamaa alikuwa anatafuta software ambayo ni simple na easy to manage kwa kufanya editing zake...
Halafu hiyo makitu yako huwa najua inatumika sana kwa Apple Users, sina uhakika kama kuna versions kwa ajili ya Windows
 
camtasia studio ina features zote za movie maker na zaidi, mie naipenda sababu ni rahisi kuitumia na ina features kibao, tatizo lake ina hitaji mashine yenye specification kubwa ram angalau 2GB, na windows zaidi ya Xp maana inatumia dotnet framework 4.5 ambayo haiwi supported na winxp.

Kumbe kaka nawe ni mdau wa hiyo bidhaa...huwa naipenda sana haswa kwenye kutengeneza documentaries za Still Images, inazifanya ziwe so interactive
 
Hahaha eti video za harusi...
Mkuu ili filamu itengenezwe na kuwa na ubora mzuri ina mlolongo wa mambo mengi.
1. Location
2. Script
3. Direction ( Director)
4. Production (Producers)
5. Characters (Actors/Actresses)
6. Story
7. Editing
8. Dubbing
9. Recording

Sasa haya tunataja yapo hicho kipengele namba 7.

SASA MBONA MOVIE ZA BONGO NI UTUMBO MTUPU.. WAKATI NAONA WATU WANAANGUSHA PROGRAM HUMU NA INAONYESHA WANAZITUMIA.. Au ni kwa ajili ya Kutengenezea Video za Harusi
 
Hahahah...mkuu Final Cut Pro ipo advanced sana na package yake ni kubwa...Jamaa alikuwa anatafuta software ambayo ni simple na easy to manage kwa kufanya editing zake...Halafu hiyo makitu yako huwa najua inatumika sana kwa Apple Users, sina uhakika kama kuna versions kwa ajili ya Windows
hahahahahaha..eti iko advanced haya bhana...ni kweli haiko katika windows..mie hizo zingine naona michosho tu..bora hata adobe premier..ila ngoja nizitafute nizione...
 
Hahaha eti video za harusi...
Mkuu ili filamu itengenezwe na kuwa na ubora mzuri ina mlolongo wa mambo mengi.
1. Location
2. Script
3. Direction ( Director)
4. Production (Producers)
5. Characters (Actors/Actresses)
6. Story
7. Editing
8. Dubbing

Sasa haya tunataja yapo hicho kipengele namba 7.

umesahau jambo muhimu sana na la kipekee kulivyo vyote hivyo amablo ni 'recording' au shooting! kwani editing na production hutegemea ubora wa kilichorekodiwa vema!
 
Yap niliisahau hiyo mkuu....thanks for the reminder!!

umesahau jambo muhimu sana na la kipekee kulivyo vyote hivyo amablo ni 'recording' au shooting! kwani editing na production hutegemea ubora wa kilichorekodiwa vema!
 
hahahahahaha..eti iko advanced haya bhana...ni kweli haiko katika windows..mie hizo zingine naona michosho tu..bora hata adobe premier..ila ngoja nizitafute nizione...

Hahaha ipo Advanced kaka, maana hutumiwa na Producers wakubwa hata huko Hollywood na kwingineko.
Jaribu Camtasia, Sony, Adobe Premiere + After Effects etc
 
Hahaha ipo Advanced kaka, maana hutumiwa na Producers wakubwa hata huko Hollywood na kwingineko.
Jaribu Camtasia, Sony, Adobe Premiere + After Effects etc
..hahahahahahaha..kaka hiyo mie naitumia kila siku..hata hapa napo post hii nikupitia i mac huku niki edit kwa final cut pro...ila sio producer mkubwa but soon...nitaiteka EAC...hahahahahaha...hapo kwenye bold..nazitumia sana..
 
Hahaha iko po amkuu, umuhimu ni creativity na kujifunza kutoka kwa wengine...

hahahahahahahaha...hapo kwny bold...nadhani ID yangu umeiona nami naongeza "Innovation"...nakubaliana na wewe kujifunza kwa wengine...
 
Hii ukamuuzie mwigulu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
mkuu rahisi zaidi inaitwa wimdows movie maker inafanya vitu vyote basic na inakuja kwenye windows kama hutaikuta nenda website ya microsoft utaipata.

Mimi hapa ninayoipenda inaitwa magix video pro x5 hii ina feature nyingi sana japo si proffesional sana ila ni rahisi kutumia

inavitu kama hivi
-uwezo wa kueka text kwenye video
-kubadilisha sauti ya video kueka yako
-kukata na kuunga vipande vya video
-kuna effect mbali mbali za kueka kwenye video.

Magix ni ya kulipia so itafute torrent

mbona ina chagua format nimejaribu kudrag baadhi ya videos inagoma.
 
Kumbe kaka nawe ni mdau wa hiyo bidhaa...huwa naipenda sana haswa kwenye kutengeneza documentaries za Still Images, inazifanya ziwe so interactive

uwa naitumia sana kwa ajili ya video za youtube pamoja na kutengenezea tutorial, si unajua inerekodi screen
 
Hahaha eti video za harusi...
Mkuu ili filamu itengenezwe na kuwa na ubora mzuri ina mlolongo wa mambo mengi.
1. Location
2. Script
3. Direction ( Director)
4. Production (Producers)
5. Characters (Actors/Actresses)
6. Story
7. Editing
8. Dubbing
9. Recording

Sasa haya tunataja yapo hicho kipengele namba 7.

Ok.. Ingawa naona Movie kali kama superman/Matrix/clash of Titan/Wrath of Titans na 300 Spartan wametumia Green screen za kutosha then wakaingia Editing
 
Hahaha...ni kweli mkuu, bila fiction modern movies hazinogi

Ok.. Ingawa naona Movie kali kama superman/Matrix/clash of Titan/Wrath of Titans na 300 Spartan wametumia Green screen za kutosha then wakaingia Editing
 
Back
Top Bottom