kama unataka ya kubandika na kubadua na ikaja kufika siku TWO company wana logo sawa--Go with AAA logo. but kama unataka ya kwako pekeyako go with Adobe photoshop or flash (wonder full software for drawing logos,cartoons and other pros)Ipi Ambayo ina pia na Sample za kutosha (pre-designed)