mwilawi Senior Member Joined Oct 13, 2013 Posts 139 Reaction score 89 Apr 6, 2014 #1 Habari wadau.Naomba software kwa ajili ya kuflash simu yangu nokia 6303c, pia na jinsi ya kuflash. niko vibaya sana nisaidieni.
Habari wadau.Naomba software kwa ajili ya kuflash simu yangu nokia 6303c, pia na jinsi ya kuflash. niko vibaya sana nisaidieni.
K Kafuta Senior Member Joined Oct 15, 2010 Posts 119 Reaction score 29 Apr 6, 2014 #2 mwilawi said: Habari wadau.Naomba software kwa ajili ya kuflash simu yangu nokia 6303c, pia na jinsi ya kuflash. niko vibaya sana nisaidieni. Click to expand... *#7370# ingiza hiyo.
mwilawi said: Habari wadau.Naomba software kwa ajili ya kuflash simu yangu nokia 6303c, pia na jinsi ya kuflash. niko vibaya sana nisaidieni. Click to expand... *#7370# ingiza hiyo.
Mgumu04 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2011 Posts 1,943 Reaction score 1,059 Apr 6, 2014 #3 hapa sina lolote:juggle:
snipa JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 4,523 Reaction score 2,165 Apr 6, 2014 #4 Kafuta said: *#7370# ingiza hiyo. Click to expand... hii ni code ya ku restore factor! Pamoja na internal memory! Lakini ni lazima uingize password ! Lakini ni tofauti na ku flush !
Kafuta said: *#7370# ingiza hiyo. Click to expand... hii ni code ya ku restore factor! Pamoja na internal memory! Lakini ni lazima uingize password ! Lakini ni tofauti na ku flush !