Software ya kucopy automatic from flash

xivii09

JF-Expert Member
Feb 9, 2012
265
145
msaada wadau naombeni mtu ambaye anayo iyo software ya kucopy data zote endapo tu flash itakapo chomwekwa kwenye PC (computure) please natanguliza shukilani [b*] loading......[/b*]
 
ahahah wewe mtoto wa bill gate pole mm nipo basi lingine uku kuna bacteria tu ambao wanapona kaka
 
duh umenifungua macho ngoja na mimi nifatilie hii software
 
Mkuu najua kazi yake, ila sina hakika kama kuna antivirus ambayo ni perfect 100%. Na kama ipo labda unayo wewe tu.

kasper fully activated, updated every month, pembeni nina linux kudeal na really problematic devices. Nna hofu gan
 
Back
Top Bottom