Asante sana , kwa ushauri , nitajitahidi ingawa nimeangalia haraka haraka sijaona sehemu ambayo naweza nikapata hizo files kirahisi.Ushauri inabidi uwe na SD card tafuta computer search firmware ya hio device online nadhani yawezekana ukahitajika kuinunua online ila ukiipata bure shukuru Mungu format hio SD card weka firmware ingiza humo umemaliza kazi