Habari zenu.
Mimi ni mfanyabiashara wa kati, nahitaji software ya computer ambayo itaniwezesha kuhifadhi bei za bidhaa zangu (bei niliyonunulia, bei ya kuuza, bei ya mwisho n.k) msaada kwa anayefahamu anisaidie

Kuna software nyingi sana, ambazo ni maarufu ni tally erp na QuickBooks, ambazo utahitaji kuzinunua na pia zina gharama za installation na maintananc.
Kama huitaji kuingia garama sana jaribu kutafuta open source software ambazo ziko mtandaoni nyingi tu. Ila mimi baada ya kuangaika sana nlikutana na software nzuri ijulikanayo km OPENSOURCE POINT OF SALE (OSPOS) hii ni nzuri sana naitumia huu ni mwaka wa tatu sasa. Haina garama km ww ni mtundu utaipakua mtandaoni, unahost km ni local host au online, na ni rahisi mno. Unaweza kipata maelezo zaid hapa Open Source Point of Sale | Reviews for Open Source Point of Sale at SourceForge.net
Shukrani ziwaendee developers wote wa OPENSOURCE na contributors.
Nb. Ukiiona software hii imekusaidia usisite kuwapa walau kikombe cha kahawa..