software mbadala na ya IDM

Baba Kapompo

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
1,344
Reaction score
468
mssada jamani nitumie software gani pakua vitu online kwasababu natumia IDM ila ina nizingua serial key nina version tatu zote zina serial keys zake lakini nikiinstall nikiweka na serial key inasema ni fake serial ...naomba mnisaidie jina la software ambayo inaweza fanya kazi sawa na IDM tafadhal
 
Download vuze au bittorent au uttotents instal thn nenda kickass.to ikifunguka search idm itakuletea na key zake download kwa kutumia moja wapo ya software hapo then fungua hiyo folder itakupa malezo jins ya kuinstal au kucrack
 
check na hii
Download EagleGet - EG Download Accelerator, Free Video Downloader

kama hujaelewa pitia na uzi huu
https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/530834-downloader-ipi-bora.html



NB :jaribu kujifunza kusearch topics
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...jamiiforums-na-tips-nyengine-za-kusearch.html



enjoy++
:biggrin1:

 
Tafuta EagleGet downloader
 
Zikishindikana hizo tafuta pia Ant downloader ila ni nzuri zaidi kama unatumia Mozilla
 
Zikishindikana hizo tafuta pia Ant downloader ila ni nzuri zaidi kama unatumia Mozilla

Hii ni nzuri na haina longolongo hata spidi yake naona ni sawa tu na IDM mie ndio naitumia baada ya kuona IDM wana kufuli la shaba
 
Mimi nimeipenda hii: download accelerator manager. Ni ya bure na hata interface yake inafanana kabisa na IDM. Shida ya hizo cracked software ni kuwa siku wakikunasa wenye nayo wengine wanakutupia virusi na hata kuharibu machine yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…