Software makini kwa kurekodi screen ya PC

Mr Death

Senior Member
Joined
May 4, 2016
Posts
174
Reaction score
149
Habari wanajamii wenzangu naombeni msaada kama kichwa kinavyosema hapo juu software itakayoniwezesha kurekodi screen ya mashine yangu.
 
enable audio kwa kubonyeza kitufe cha audio ....uki click kitufe chenye mic kitabadilika rangi na kuwa nyekundu kuonyesha kwamba kipo active
 
Ok click edit option
Halafu nenda kwenye audio tab
Angalia mic yako kama iko listed enable it
 
Downloading CamStudio itakufaa then tafuta headhphone zenye cable ya Mic na Sound..ni free na ni ya uhakika
 
Download Bandicam Video recorder iko vizuri sanaa kwa Windows Os.

Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
 
Camtasia studio iko superior kwa hizo inbuilt kwenye windows!

Inakuwezesha kuweka illustration za ziada kama CallOuts,ku Zoom in pale unapotaka kutilia mkazo, juu ya yote unaweza kuwa una record ukakohoa au ikapita sauti ya chombo cha usafiri au distructing sound yoyote na hautaki isikike,Camtasia wanakupa options za kui Cut hiyo sehemu maana Camtasia ukisha record wanakupa option ya ku edit video na pia hata kuongeza speed ya video iwapo uliifanya hiyo video na inaonekana kuwa slow!

Infact kama unafanya kitu serious hauwezi epuka hii makitu!

Ila shida yake ni kwamba ni yakulipia iwapo utakua genuine na uko tayari ku support developers!
 
shukrani mkuu hiyo ninayo cracked lakini windows yangu ni 32bit jumanne nitapiga 64bit nitakutafuta mkuu
 
ngoja niitafute hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…