hali mbaya
Member
- Jan 7, 2014
- 79
- 22
Nahitaji kampuni inayouza software kwa ajili ya SACCOS. Nataka yenye uwezo wa kutoa mikopo na kuonesha makato, kutunza taarifa za wanachama, kuonyesha akiba, hisa, akaunti mbalimbali(akaunti za mteja kutoa na kuweka fedha, riba ya mwezi na mwaka).
Pia iwe na uwezo wa kuchukua na kutoa taarifa kutoka kwenye ms excel au ms access au notepad.
Naomba tuwasiliane
Pia iwe na uwezo wa kuchukua na kutoa taarifa kutoka kwenye ms excel au ms access au notepad.
Naomba tuwasiliane