A ALL IN ONE JF-Expert Member Joined Oct 22, 2014 Posts 272 Reaction score 190 Nov 9, 2014 #1 msaada kwa wakuu kama mtaweza kunisaidia juu ya kupata software ambyo nitaweza kuitumia katika kutengeneza cds au dvds ambazo zcwezwe kukopiwa !! msaada kwenu
msaada kwa wakuu kama mtaweza kunisaidia juu ya kupata software ambyo nitaweza kuitumia katika kutengeneza cds au dvds ambazo zcwezwe kukopiwa !! msaada kwenu
Paje JF-Expert Member Joined Apr 24, 2010 Posts 1,185 Reaction score 486 Nov 9, 2014 #2 itawezekana lakini hutoweza au mtu mwengine hatoweza kuzi play katika standard dvd-cd player. au itashindwa kuplay kwenye pc
itawezekana lakini hutoweza au mtu mwengine hatoweza kuzi play katika standard dvd-cd player. au itashindwa kuplay kwenye pc
Mtangoo JF-Expert Member Joined Oct 25, 2012 Posts 6,163 Reaction score 5,624 Nov 9, 2014 #3 Kwa nini unataka ku protect?
A ALL IN ONE JF-Expert Member Joined Oct 22, 2014 Posts 272 Reaction score 190 Nov 9, 2014 Thread starter #4 Thanks Paje je? unaweza kunisaidia Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
deejaywillzz JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 637 Reaction score 224 Nov 10, 2014 #5 ALL IN ONE said: msaada kwa wakuu kama mtaweza kunisaidia juu ya kupata software ambyo nitaweza kuitumia katika kutengeneza cds au dvds ambazo zcwezwe kukopiwa !! msaada kwenu Click to expand... Zipo nyingi tu na zinatoa quality nzuri ila tatizo wajanja wameshatengeneza software za kupangua kama Fab DVD5. Ndo maana makampuni ya kutengeneza movies hata music hawaangaiki na kuprotect CD/DVD wanatengeneza tu copyright
ALL IN ONE said: msaada kwa wakuu kama mtaweza kunisaidia juu ya kupata software ambyo nitaweza kuitumia katika kutengeneza cds au dvds ambazo zcwezwe kukopiwa !! msaada kwenu Click to expand... Zipo nyingi tu na zinatoa quality nzuri ila tatizo wajanja wameshatengeneza software za kupangua kama Fab DVD5. Ndo maana makampuni ya kutengeneza movies hata music hawaangaiki na kuprotect CD/DVD wanatengeneza tu copyright
A ALL IN ONE JF-Expert Member Joined Oct 22, 2014 Posts 272 Reaction score 190 Nov 10, 2014 Thread starter #6 thanks kwa kunielewesha hlo deejaywillzz Last edited by a moderator: Jan 4, 2016