AUDACITY! Hua naitumia kurekebishia audio kabla cjaziweka in animations or videos! Ni bure kabsa afu extremely wonderful!

hii haifanyi kazi ambao mtoa mada amemaanisha.
Inapatikana site ipi tupakue mkuu?
AUDACITY! Hua naitumia kurekebishia audio kabla cjaziweka in animations or videos! Ni bure kabsa afu extremely wonderful!
Audition
Hii huwa naiona kule Linux tu, hivi ipo na ya windows!
Mwaka 2004 kuna jamaa alikuwa akicheza music kwenye pc, muda meingine alikuwa ana mute voice anabaki na instruments tu.
Sijajua alikuwa anatumia software gani.