Software hizi lazima ziwepo kwenye PC yangu, wewe?

1. AutoCAD 2007 & AutoCAD Electrical 2018
2. MapSource & Google Earth Map
3. ArcMap & QGIS
4. ArchiCAD 17
5. Ms package & Adobe reader
6. Dictionary
7. ETAP Software
8. Solidworks 2013
9. Need 4 Speed
10. MATLAB and Proteus.

Hizo lazima ziwepo mkuu.
 
Arch Map
Solid Work

Hizi ni Kwa shughuli gani kakaa
 
Naanza mimi, Mimi PC yangu ni kwajili ya matumizi ya kawaida na kitaftia pesa mtabdaoni kuanzia blogging, freelance , n.k

Mozilaa firefox kwajili ya kuperuzi internet.

Google chrome kwajili ya kuchekia mafaili ya pdf, Napenda jinsi ilivyo kuzidi adobe acrobat, foxit, n.k

IDM kwajili ya kudownload vitu.

Picasso kwajili ya kuangalia picha.

Vlc kwajili ya kuchekia videos.

Notepad ++ hii naipenda kuliko notepad.

WinDirStat kwajili ya kuscan mafaili yote ya kwenye pc ili kujua mafaili gani huenda ni makubwa na wala siyahitaji.

Miscrosoft word na exel 2007, Hapa nimekufa nimeoza sihitaji matoleo mapya

Photoshop kwajili ya kueditia picha

7zip kwajili ya kuextract mafaili ya .rar

Anti virus inayokujaga na windows 10 inanitosha

Ni kama ivyo yani, haya twende kazi wewe unazo zipi,
Ant virus inayokujaga na windows 10 ni ipi au Window defender?
 
1. AutoCAD 2007 & AutoCAD Electrical 2018
2. MapSource & Google Earth Map
3. ArcMap & QGIS
4. ArchiCAD 17
5. Ms package & Adobe reader
6. Dictionary
7. ETAP Software
8. Solidworks 2013
9. Need 4 Speed
10. MATLAB and Proteus.

Hizo lazima ziwepo mkuu.

software nzito hizo babu duuuh we utakuwa architect
 
1. AutoCAD 2007 & AutoCAD Electrical 2018
2. MapSource & Google Earth Map
3. ArcMap & QGIS
4. ArchiCAD 17
5. Ms package & Adobe reader
6. Dictionary
7. ETAP Software
8. Solidworks 2013
9. Need 4 Speed
10. MATLAB and Proteus.

Hizo lazima ziwepo mkuu.
Safi...!
 
1. Adobe photoshop: hapa naedit picha ids na vipengele vingine kibao

2. Microsoft edge: hii browser naikubali sana kwa kutunza data iko very stable kuliko chrome

3. Microsoft office: hapa ni full packages icluding power point, publisher, excel nk.

4. Nitro pro: hii inakuja na optical content recognition (OCR) inaweza kuscan pdf documents na kuziedit kwa mfumo wa word

5. Pdf element: hii nayo ni kama nitro utofauti wake ni kwamba imezidiwa features kidogo na nitro ila OCR yake iko poa

6. Gomo player: ushawahi cheki movie ambayo inapishana na subtitles? Basi hii kitu ni noma achana na vlc ambayo subtiles adjust keys hazina consistent. Hii kitu ina features kali kinoma utaifaidi vizuri endapo utapata crack ya gomo plus au kama utailipia

7. WINRAR: hii kitu nacho ipendea kwenye ku extract ma files ni nadra sana kuweka errors kama 7zip

8. ULTRALSEARCH: katika search ulizowahi kuzisikia au kutumia basi hii ndi o babkubwa. Inakuja na option ya ku filter matokeo unayoyahitaji. Mfano unaweza ukaweka option ya kutafuta videos pekee

9. Niracle box, nck doungle module, sp flash tools: kuna haja ya maelezo hapa?

10. IOBitunistaller: ushawahi kukereka na programs ambazo zimeji install automatic bila matakwa yako na ukizicheki kweli panel ya progam list ili uzifute huzioni? Basi hii kitu ni powerful uninstaller kuanzia vile vi avast ambavyo vinaji install automatic pindi tu uki-connect pc internet
 
Hii namba kumi nitaifanyia kazi
 
Back
Top Bottom