sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,034
Naanza mimi, Mimi PC yangu ni kwajili ya matumizi ya kawaida na kitaftia pesa mtabdaoni kuanzia blogging, freelance , n.k
Mozilaa firefox kwajili ya kuperuzi internet.
Google chrome kwajili ya kuchekia mafaili ya pdf, Napenda jinsi ilivyo kuzidi adobe acrobat, foxit, n.k
IDM kwajili ya kudownload vitu.
Picasso kwajili ya kuangalia picha.
Vlc kwajili ya kuchekia videos.
Notepad ++ hii naipenda kuliko notepad.
WinDirStat kwajili ya kuscan mafaili yote ya kwenye pc ili kujua mafaili gani huenda ni makubwa na wala siyahitaji.
Miscrosoft word na exel 2007, Hapa nimekufa nimeoza sihitaji matoleo mapya
Photoshop kwajili ya kueditia picha
7zip kwajili ya kuextract mafaili ya .rar
Anti virus inayokujaga na windows 10 inanitosha
Ni kama ivyo yani, haya twende kazi wewe unazo zipi,