Software gani hutumika kuflash simu na modem?

Baba Kapompo

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
1,344
Reaction score
468
Jaman habari zenu? Nilikuwa naomba kama kuna yoyote anyeajua ni software gani zinahtajika kuunlok na kuflash device mbalmbal km simu modem nk.anambie nina diploma ya it nataka nijikite kwenye hii issue jaman ni ktk kujikwamua kiuchum baada ya kugonga mwamba kwenye soko la ajira nb. Naomba mnitajie vtu vinavyohtajka km soetware names
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…