Jinsi alivyopangalia tangazo anaonesha hana uhakika na anachokitaka, pili atambue developer kamili kumpata sio inshu ndogo
Wewe kama ni Engineerin unafahamu unachosema cwez kukujaji ,ila hakuna mtu anaandika asichojua au ajui anachotaka ,message IPO waz sana sema watz wengi wanapenda sana general message ukifanya specific umempoteza , nimeenda specific namtaka anaejua kutumia language flani nikazitaja mwaminifu awe innovitor ,ILA NINAHESHIMU MAWAZO YAKO na nshampata alinielewa
Sent using
Jamii Forums mobile app