Software developer

tehama

New Member
Nov 21, 2018
1
0
Habari wana JF

Natafuta developer mwenye uelewa wa yafuatayo ili tuweze kufanya long term projects :-

1. Python (Django framework ) & PHP (Laravel framework)

2. Frontend development skills in Vuejs or Reactjs

3. 1 & 2

Tunaweza kufanya kazi full time or part time. Malipo ni kidogo lakini yataongezeka overtime

Napatikana Dar es salaam.

Kama uko interested PM ukiambatanisha :-

1. Link ya baadhi ya kazi ulizofanya kama unazo
2. Mambo machache kuhusu wewe

Asante.
 
Project yenyewe inahusiana na nini?
 
Back
Top Bottom