SOFTWARE CODE

lilraq12345

Member
Joined
May 25, 2017
Posts
19
Reaction score
40
Nahitaji kusoma software code kupitia youtube anaejua aweze kwanza kunifafanulia ni nn software code na inafaida gani kusoma pia ukisoma kupitia youtube bila kuwa na cheti badae itakusaidia vp kufanikisha malengo yako note:nilisoma humu humu kwa ufupi kuhusu software code nikaipenda nahitaji ushauri zaidi labda ckuelewa vizuri na pia ni kitu gani kingine unaweza kusoma kupitia youtube au online course ikasaidia kuliko kukesha na kusoma habari za udaku.
 
Hekoo Mkuu tupo pamoja karibu kwenye ulimwengu wa programming
 
Mi ninazo full coz ya C++ na html pdf files ila c++ ni video full coz kama upo Dar mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…