gasto genaro
JF-Expert Member
- Oct 15, 2014
- 780
- 554
Kama mmemchukua wema mtawaacha hao.Hapo bashe tu ndio naunga mkono hao wengine waende ACT
Ukitulia pombe zikaisha ukisoma tena andiko lako naimani uta edit ucjalKama mmemchukua wema mtawaacha hao.
ACT ni chama makini sana. Ni ngumu mchumia tumbo yeyote kujiunga na chama kinachojali masirai ya watanzania.
Always perfect people never be corrected with blindheaded.Ukitulia pombe zikaisha ukisoma tena andiko lako naimani uta edit ucjal
Kama walidhindwa CCM huku kwa mfalme wa same watawezaNaam!
Kitendo cha Sofia Simba kufukuzwa Lumumba, Bashe, Musukuma na Malima kutiwa mbaroni,, ni dhahiri kabisa kuwa, Lumumba wamewachoka.
Kwakua watu hawa ni wabunge na viongozi makini na kwakua Lumumba wameshawachoka, basi wahamie ufipa, wanakaribishwa kwa moyo mkunjufu.
Waje tukajenge jeshi kubwa na imara la 2020
Bashe ni jembe la ukweli but soon ataitwa mhamiaji haramuHapo bashe tu ndio naunga mkono hao wengine waende ACT
Bashe ni mbunge makini sanaBashe ni jembe la ukweli but soon ataitwa mhamiaji haramu
Umesahau maneno ya afande sele,kuwa zito alimwagiza amchafue lowasa uchaguzi Mkuu,hiyo ni ccm BTANGAZENI MALI ZENU NA MADENI YENU KISHA MJE ACT. VINGINEVYO NENDENI KWENYE KILE CHAMA KINACHOZOA ZOA WATUUMIWA WA MIADARATI.
ULISHAWAI SIKIA HATA SIKU MOJA ACT ILIMJIBU AFANDE SELE....CHAMA MAKINI HAKIWEZI BISHANA NA WACHUMIA TUMBO.Umesahau maneno ya afande sele,kuwa zito alimwagiza amchafue lowasa uchaguzi Mkuu,hiyo ni ccm B
lamb a lambaKama mmemchukua wema mtawaacha hao.
ACT ni chama makini sana. Ni ngumu mchumia tumbo yeyote kujiunga na chama kinachojali masirai ya watanzania.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]TANGAZENI MALI ZENU NA MADENI YENU KISHA MJE ACT. VINGINEVYO NENDENI KWENYE KILE CHAMA KINACHOZOA ZOA WATUUMIWA WA MIADARATI.