Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,051
- 462
hongera sophia simba kwa ujasiri. katibu mkuu akilegalega aondoke, hakuna haja ya kusubiri sijui hadi uchaguzi mwingine. huyu simba ni mama wa shoka, ni mwepesi wa kuchukua hatua. nimempenda sana kwa ujasiri wake huu kama habari hizi ni za kweli.
kulindana ndio kumetufikisha hapa. hii ni salamu maalum kwa JK asiendeleee kumkumbatia makamba wakati chama kinasambaratika. hongera simba,umedhihirisha kuwa wewe ni simba halisi. nakuombea udumu hapa na baada ya JK ulambe fomu ya magogoni...................... big up mamamaaaaaaaaaaa.........
Una uhakika na ulichoandika, maana mie nilimaliza nae Kidato cha NNE pale shule ya Sekondari Kinondoni mwaka 1988 sasa sijui nani kakueleza kaishia darasa la SABApole hasna mwilima. lakini nasikia na wewe ni kafisadi fulani umekula hela nyingi za wakima mama hapo uwt. na vile vile elimu yako ni darasa la saba tu.
- Kwani hii habari imethibitishwa kwamba ni ya kweli? Halafu si majuzi tu huyu katibu mkuu wake si ndiye aliyekuwa akimsifia kwamba mwenyekiti wake ni saafi na hakuna matatizo sasa haya yametokea wapi tena?
- Habari bado haijakaa sawa hii!
Respect.
FMEs!
Naona umeruka posts zingine soma zote
hongera sophia simba kwa ujasiri. katibu mkuu akilegalega aondoke, hakuna haja ya kusubiri sijui hadi uchaguzi mwingine. huyu simba ni mama wa shoka, ni mwepesi wa kuchukua hatua. nimempenda sana kwa ujasiri wake huu kama habari hizi ni za kweli.
kulindana ndio kumetufikisha hapa. hii ni salamu maalum kwa JK asiendeleee kumkumbatia makamba wakati chama kinasambaratika. hongera simba,umedhihirisha kuwa wewe ni simba halisi. nakuombea udumu hapa na baada ya JK ulambe fomu ya magogoni...................... big up mamamaaaaaaaaaaa.........
leteni data kamili za huyu hasna mwilima hapa jamvini.hasa nyie mnaomtetea kama SS amemwonea.unajua pamoja na kuwa SS ana mapungifu yake, lakini huyu jamani ameshindwa kazi!!!!!!! na hiyo ndiyo taarifa aliyopelekewa JK with evidence na ndiyo akaamuru kazi isitishwe ebo!
Sawa sawa , hiyo ni Kukuru tu...Lol!Habari kwa ufupi ya TBC 1 ya saa kumi jioni hii... zimedai ...kuwa taarifa za Hasna Mwilima Kusimamishwa/kutimuliwa zimethibitishwa... Wakati huo huo Mama SS yupo jijini Mwanza katika mkutano wa taasisi ya KUKURU... Snap hio hapo
Huoni kingine ika dini tu?? Lediana na mama Kahama nao waislamu? Wingi wa waislamu kwenye UWT inatokana na kuwa wengi wa wanachama wake hai ni wa mijini na Pwani, sasa unategemea nini?hivi hiki chama ni chama cha wanawake wa CCM ambao ni waislamu.. uongozi mzima ni wa dini moja...