Gowima
Member
- Jul 13, 2020
- 31
- 63
Unataka Ziwekwe matairi ili zipite lami ama?Chini zimewekwa miguu ya mbao au vichuma?na je zinanesanesa zimewekwa matairi?
Siku hizi hawaweki mbao kwa ndani kuepusha panya so wanafanya kukata mipira wanaifunga kwa vibox boxUnataka Ziwekwe matairi ili zipite lami ama?
KumbeSiku hizi hawaweki mbao kwa ndani kuepusha panya so wanafanya kukata mipira wanaifunga kwa vibox box