Kama wewe ni fundi wa Sofa kuna sofa Used naziuza ukazitumie kwenye kazi zako kuzibadilisha kitambaa na baadhi ya mbao. Zipo tatu yaani moja ya watu wawili na mbili za mtu mmoja mmoja. Ya watu wawili inauzwa 60000 na ya mtu mmoja mmoja nauza 30000 kila moja. Usiniulize picha ila kama unazihitaji ni used za kurekebisha KITAMBAA KWA UPENDAVYO.Ukiwa unahitaji njoo PM.
PIA nina jiko la gesi nilikuwa nalitumia aina ya YILAIDUN ki ukweli linatoa masinzi kiasi kwenye sufuria limetumika miezi 6. Ukilitaka ni Tsh 50000. Karibuni sana na naliuza.Ni biashara isiyo na uongo ndio maana nimeeleza ukweli.