Hilo tangazo lingekuwa la simu ningekushauri uweke brand name,model na bei ,bila picha kwani naweza google kujua unachouza,lakini kaka kwa sofa bila picha ,halafu kwa kupiga simu tu sijui nitajuaje hiyo sofa ilivyo,weka picha na bei,halafu ndio usubirie hizo simu,huo ndio ushauri wangu ,hilo tangazo lako ni kama kumuuzia mtu mbuzi kwenye gunia