Aoe home fyn
Member
- Jun 18, 2019
- 6
- 2
Jipatie kitanda bei kuanzia laki 650....tupigie 0692755311 au whatsapp 0718949610
Nini tena sophyJmn jmn
Jmn jmn
Mawazo yako yalikua sahihi kabisa. Watu wengi akiwemo mleta Mada hudhani kua wakiweka hizo sponge pembeni ndo Kitanda hua Sofa bed, si sahihi kabisa.Kwa harakaharaka nlizan kitanda kimeunganishwa na sofa. Yani unaweza kukifanya kua sofa au kitanda
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mawazo yako yalikua sahihi kabisa. Watu wengi akiwemo mleta Mada hudhani kua wakiweka hizo sponge pembeni ndo Kitanda hua Sofa bed, si sahihi kabisa.
Hizo sponji za pembeni nani analalia? Mzitoe bei ipungue maana wateja wengine hatuzitaki.Jipatie kitanda bei kuanzia laki 650....tupigie 0692755311 au whatsapp 0718949610View attachment 1136439
Kama ukitaka sponge pemben znatolewa na bei inapungua piaHizo sponji za pembeni nani analalia? Mzitoe bei ipungue maana wateja wengine hatuzitaki.