Soda mbaya kuliko zote

sem2708

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
5,821
Reaction score
4,970
Wakuu nakunywa Pepsi hapa. Sijawahi kunywa soda mbaya kama hii. Wewe je ipi mbaya zaidi?
 
Acha uchochezi wewe.Nani kakulazimisha kuinywa?mimi hapa nakunywa peps ni tamu sana.
 
Mbaya kwako kwetu nzuri acha uchochezi na Kuharibu biashara za watu,, piga kimya!
 
Pepsi dare for more bariiiidi ni tamu sana labda unambie unakiungulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…