Crystal field theory
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 951
- 412
Wakuu habari.. afanye confirmation kozi gani kati ya hizo mbili yenye fursa ya kuajiriwa na kujiajiri. Ahsanteni
Environment Science Management ina fursa kama ukijitambua mapemaWakuu habari.. afanye confirmation kozi gani kati ya hizo mbili yenye fursa ya kuajiriwa na kujiajiri. Ahsanteni
Kujitambua kwa namba ipi mkuuEnvironment Science Management ina fursa kama ukijitambua mapema
Environment Science ina uwanja mpana kabisa kwanza ni Science pili haina watu wengiWakuu habari.. afanye confirmation kozi gani kati ya hizo mbili yenye fursa ya kuajiriwa na kujiajiri. Ahsanteni