Kuwa mtandaoni sio shida...ila kutupia mwili wako now and then..only to get likes kumbe wengine wanakuenjoy tuShida nikuwa mitandaoni au shida ni kuposti makinikia
Me nadhani kuwa mitandaoni ni jambo jema kujua whats trends
Sent using Jamii Forums mobile app
Mitandao ya kijamii imechangia sana kuongezeka kwa talaka siku hizi, tunakoelekea ni kubaya zaidi hakuna maadili tena, mke wa mtu unapiga picha umebinua kiuno au mapaja yako wazi, na anajibu comments za hiyo midume kwa staili ya kujitongozesha aisee dunia tambara bovu, wacha niendelee kuwa mshamba tu
Sent using Jamii Forums mobile app
naona mtoa mada hataki hata mkewe amiliki smati phoni izi za kileoKuwa mtandaoni sio shida...ila kutupia mwili wako now and then..only to get likes kumbe wengine wanakuenjoy tu
Asante mkuuMwanamke aliye ndani ya ndoa hana kosa, kosa analo mume kwa kua jambo lolote kama silitaki basi mke wangu hawezi kulifanya, mkeo anapaswa kujua huogopi kumpoteza endapo tu ataenda kinyume na maelekezo yako.
Nyinyi wapeni wake zenu demokrasia na uhuru mnauona kwenye series za nchi za Marekani na Ulaya, nawahakikishia mwanamke ni kama maji, maji huchukua umbo la chombo, ukiyaweka kwenye kibuyu maji huchukua umbo la kibuyu, ukiweka kwenye beseni maji huchukua umbo la beseni.
Kuweni makini tena kuweni serious wake zenu wasiwapande kichwani.
Bora mia nzima kuliko elfu kumi iliyochanika
Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
nashangaafga watu hawaamini kwann sipo insta wala fb shogaa ! acha tuwe washamba ! mie kapeace nna picha 1 tu niipigwa harusin nimegeuka mwenzangu akanipiga kwa nyuma !jaman nasisimka na kutetemeka eti nipige picha kwa nyuma !uoneshe makalio ili iweje ! tena mie Picha zangu 90% ni half!sipend kupiga full! labda wanaonesha SHOW WHT UR MAMA GAVE