Mkuu kwani hujui biashara ni matangazo ??
Halafu hili jambo sio zuri, ndio linasababisha michepuko na migogoro mingi kwenye ndoa..NDOA IHESHIMIWE
Ni Hatari. Huwa nashangaa wanawake wanavyoshindana kutupia picha za fasheni instagram na facebook. Halafu hazina chochote zaidi ya kutaka kusifiwa tu. Najiona wa kizamani Sana, dunia imekwenda kasi mno. DorisSiku hizi hata walio olewa wanauza mzed
Naenda kupiga picha nikapost fb kwanza ndio nirudi.Rudi aisee
Huyo ni kuku wa kisasa. Kuhusu ya watu Ama umepotea njia, Ama huelewi hata maana ya threads kama hizi. Sijamsema mtu hapa, Fungua akili. Kwa sasa unajidai na hicho kimsemo, pambana na hali yako. Halafu siku yakikukuta ndio unakuja hapa unalialia kutaka Ushauri. Lazima haya mambo yasemwe, exceptions zitakuwapo tu. Ndio maana watu wanatembea na wake na waume za watu. Sisi ni kuonesha nyufa tu kabla watu hawajatiana ngeuKuna baadhi ya wanaume wanapenda wake zao wawe hivo tena wanacoment kabisa. Kuna siku Niko saloon ,kuna mdada Kaja na mume wake, me baada ya kutengeneza nywele nikafunga hijab yangu kama kawaida, Yule baba akawa ananiuliza kama unafunika kichwa Kwanini unatengeneza nywele Ndio unatengeneza kwa ajili ya mumewako tu, Mimi mke Wangu tena napenda avae vimini, vipensi yaani nafurah.
Wewe pambana na Hali yako tu ya watu yatakuumiza.
Ulimwelewa lakini alivyochangia au umejibu kikondoo tuuHuyo ni kuku wa kisasa. Kuhusu ya watu Ama umepotea njia, Ama huelewi hata maana ya threads kama hizi. Sijamsema mtu hapa, Fungua akili. Kwa sasa unajidai na hicho kimsemo, pambana na hali yako. Halafu siku yakikukuta ndio unakuja hapa unalialia kutaka Ushauri. Lazima haya mambo yasemwe, exceptions zitakuwapo tu. Ndio maana watu wanatembea na wake na waume za watu. Sisi ni kuonesha nyufa tu kabla watu hawajatiana ngeu
joseverest mkuu, baada ya avatar yako kudukuliwa umebadilisha nyingine, nusu kidogo nikusahauMkuu kwani hujui biashara ni matangazo ??
Halafu hili jambo sio zuri, ndio linasababisha michepuko na migogoro mingi kwenye ndoa..NDOA IHESHIMIWE
Anhaa ndio mimijoseverest mkuu, baada ya avatar yako kudukuliwa umebadilisha nyingine, nusu kidogo nikusahau
True trueNi Hatari. Huwa nashangaa wanawake wanavyoshindana kutupia picha za fasheni instagram na facebook. Halafu hazina chochote zaidi ya kutaka kusifiwa tu. Najiona wa kizamani Sana, dunia imekwenda kasi mno. Doris
hakika boss!Mkuu kwani hujui biashara ni matangazo ??
Halafu hili jambo sio zuri, ndio linasababisha michepuko na migogoro mingi kwenye ndoa..NDOA IHESHIMIWE