yeah, app wanayoIna app?
Usikariri mkuu,,ndo hvyo hvyo tuu,sio lazma tufanane [emoji1][emoji1]Uhakika unao ila hujui forums nyingine Africa ,je umefikaje kwenye huo uhakika?JF ni Bora,je umeilinganisha na forums ambazo wewe mwenyewe huzijui
Mimi naona tafuta neno lingine hapo maana maandiko yako yanajicontradict
Neiralandnaiverland ina watu m 1.5 hivi