Social Activities Coordinator Njombe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Social Activities Coordinator Njombe

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by nmf, Mar 12, 2010.

 1. n

  nmf New Member

  #1
  Mar 12, 2010
  Joined: Mar 12, 2010
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  EMPLOYMENT OPPORTUNITY

  In the process of consolidating the activities related to CEFA NGO in Njombe District, and with special reference to its social promotion activities, the partners of Cefa NJOMBE Project wish to inform the general public about the following employment opportunity for one:
  Job Title:SOCIAL ACTIVITIES COORDINATOR
  Duty Station: Njombe Milk Factory
  Starting Date: 13/03/2010
  Specific Duties / Responsibilities:
  § Management of Njombe Milk Factory’s (NMF) social and promotional activities;
  § Coordination of NMF information/awareness activities;
  § Planning and management of prevention campaigns against poor nutrition;
  § Writing food security and animal husbandry development plans;
  § Management of “Milk for schools programme”;
  § Organization of guided tours in the NMF for school children;
  § Promotion of social meetings and events.
  Required Qualifications and Related Experience:
  § Degree or Advanced Certificate in Education or Community Development, issued by a recognized Academic Institution;
  § 6 months’ professional experience (including internships) pertaining to social promotion activities are a preferential condition;
  § ability in conducting training and capacity building sessions;
  § problem solving and organizational skills;
  § teambuilding skills and ability to work in a in multicultural context, with both project staff and local partners;
  § Use of Microsoft Office package and Internet;
  § proficiency in English language; both written and spoken
  § Some experience in project proposals writing is preferred.
  Payment / Salary:
  Attractive from the onset of tenure, and adjustable during the tenure to accommodate increased cost of living.
  Mode of Application:
  Invitation is hereby given to qualified Tanzanian citizens to apply for the post.
  If you posses the required qualifications please submit your hand written application together with detailed CV, copy of certificates, transcripts and three references to:

  e-mail: njombemilkfactory@gmail.com
  or mail: CEFA Njombe Project - P.O. Box 59, Njombe

  Deadline for application: 26/03/2010

  -----------------------------------------------------------------------------------

  NAFASI YA KAZI

  Katika mchakato wa kuimarisha shughuli zinazohusiana na CEFA Njombe Project, wanachama wa mradi wanapenda kuutarifu kwamba kuna nafasi moja ya ajira.
  Watanzania wenye vigezo wanakaribishwa kuomba nafasi hii.
  Jina la kazi: Meneja wa maendeleo ya jamii
  Sehemu ya kazi: Njombe Milk Factory
  Tarehe ya mwanzo ya kupokea maombi: 13/03/2010
  Kazi / Majukumu:
  · Kuongoza shughuli za maendeleo ya jamii za Kiwanda cha Maziwa - Njombe
  · Kuratibu shughuli zote za mradi wa maendeleo ya jamii
  · Kupanda na kuendesha kampeni kwa kupinga hali ya utapiamlo
  · Kuandika miradi ya maendeleo inayohusu lishe bora na mifugo
  · Kusimamia mradi wa “Maziwa shuleni”
  · Kuandaa ziara Kiwandani kwa ajili ya wanafunzi wa shule za msingi na secondary
  · Kuitisha mikutano na semina kwa ajili ya kuelimisha jamii
  Vigezo vinavyotakiwa na uzoefu:
  · Awe na shahada au cheti cha juu katika elimu kutoka chuo kinachotambulika
  · Awe na uzoefu wa angalau miezi 6, katika miradi ya maendeleo ya jamii
  · Uwezo wa kutoa semina na capacity building
  · Kutatua matatizo na uwezo wa kupanga
  · Uwezo wa kufanya kazi pamoja na timu ya mradi na local partners
  · Ujuzi wa Kompyuta unahitajika
  · Uwezo wa kuongea na kuandika Kiingereza
  · Uwezo wa kuandika miradi
  Malipo/ Mshahara:
  Malipo mazuri yanayoendana na kazi, na marekebisho yatafanyika wakati wa kazi ili kujikimu na gharama ya maisha inayoogereza
  Namna ya kuomba:
  Kama una vigezo vilivyo tajwa, tuma barua ya maombi iliyo andikwa kwa mkono, CV, kopi za vyeti na majina matatu ya wadhamini, kwa:  Ama: Cefa Njombe BOX 59, Njombe

  Tarehe ya mwisho ya kupokea maombi: 26/03/2010
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hapa mm bado kabisa sijaelewa
   
 3. H

  Henrick sanga Member

  #3
  Mar 18, 2010
  Joined: Mar 18, 2010
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ndugu wanangu wanajamii forum huyu aliye post ni mzungu nilimdirec ajiunge ili atangaze hizo kazi za Social Economic/Accountant na zingine zote za CEFA kiwanda cha maziwa. Kipengere cha kuanza kazi alikosea alikuwa anamaanisha kuwa tarehe ya kuanza kwa tangazo na siyo kwa kazi
   
 4. kabila01

  kabila01 JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2010
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 3,012
  Likes Received: 1,821
  Trophy Points: 280
  Poa Poa Mkuu
   
Loading...