omary khamis
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 402
- 77
Jamani wanajf wanzangu nime-download game kwa pc lakini kila nikichomeka pad naona hazifanyi kazii so selewi nakosea wap au shida nini
Ni pes au fifa?Jamani wanajf wanzangu nime-download game kwa pc lakini kila nikichomeka pad naona hazifanyi kazii so selewi nakosea wap au shida nini
Nicheki 0625489620 nikusaidie tatizo lakoJamani wanajf wanzangu nime-download game kwa pc lakini kila nikichomeka pad naona hazifanyi kazii so selewi nakosea wap au shida nini