so scared | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

so scared

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by cathreen, Apr 24, 2011.

 1. c

  cathreen Member

  #1
  Apr 24, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  helows, naombeni ushauri wenu, mimi nina bf ambaye soon atakuwa mume wangu lakini tatizo ni kwamba kila tukikutana faragha kufanya tendo la ndoa akichomoa tu lazima ntokwe na damu ukeni sijui tatizo ni nini, ila kabla yake nilikua na mahusiano na kijana mwingine lakini hiyo hali haikuwahi kunitokea sasa sijui tatizo ninini naombeni ushauri wenu.
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Siumeshapata ushauri jana bibie...ama?
   
 3. Sokwe Mjanja

  Sokwe Mjanja JF-Expert Member

  #3
  Apr 24, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Haiwezekani kuwa ana maumbile makubwa sana? Kama ni hivyo mjaribu akuandae muda mrefu kabla ya kudumbukiza ududu au mtumie vilainishi, Kama si ukubwa basi nenda Hospitali watakusaidia mpendwa, pole sana
   
 4. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Mapenzi katika umri mdogo, halafu jana nilikushauri hukuisoma? au ni translate?
   
 5. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  We mtoto mbona hujanipa namba nimkalipie anakuumiza bure
   
 6. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Jaribu kuchomeka nyumani a.k.a kule kwa robo shilingi kwa sekunde.
   
 7. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #7
  Apr 24, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Liwelelo
   
 8. k

  kisukari JF-Expert Member

  #8
  Apr 24, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,753
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  mbona jana ulishauriwa vyema?au hukusoma post za jana?
   
 9. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #9
  Apr 24, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Usikute hamna damu wala nini! we hakikisha miguu umeweka sawasawa kama bado inabana tumia ky kama bado jamaa yako ana matatizo
   
 10. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #10
  Apr 24, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Dogo dnt dare!
   
Loading...