So Samia gorvement is blackmailing meta?

Tanzania ilitishia kuizuia Facebook, Instagram na WhatsApp nchini kote ikiwa Meta itakataa kuzuia akaunti za wanaharakati watatu.

Baadae Meta ilipiga marufuku mbili kati hizo akaunti tatu.

Vipi hapo Samia hajahonga Meta?
 
Uwezo wa kuhonga meta hana ila labda hicho kitisho cha kuiungia hio mitandao nchi nzima
 
Kumbe ndio maana 😂

Wanalinda BIASHARA. This is an opportunity for Elon musk to come up with better apps or buy all of Meta groups like he did for Twitter.

Serikali haramu hii inaogopa wananchi wake inaodai wameipigia kura 98%
 
Mange Kimambi ni mtu na nusu. Yaani Serikali haramu inaona bora kufungia Facebook, WhatsApp na Instagram kuliko Mange kuongea humo.

Mtu mwembamba yule mwenye kilo 45 anawanyima usingizi viongozi haramu.

Mange Kimambi historia ya ukombozi haitakusahau kamwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…