So Nice, A Gentlemen In The Making...

Alitumwa na mwalimu wake. Binti hajui kufunga kamba za viatu
 
They are so adorable 😘😘😘

Watoto wazuri maashallah
 
hapo kaka na dada hiyo ipo sana. kaka mtu anafuata maelekezo (take care of your little c*)
 
VIBAYA HIVO JEMBE AFRICA...mbona mawazo yako yameenda mbalii..nakumbuka enzi hizo nikiwa chekechea nilikua sijui kufunga kamba za viatu..dah kuna karafiki changu R.I.P ameshatangulia kwa mungu kalikua kavulana kananifunga..hii picha imenipa uchungu
charty upo mama?
 
Last edited by a moderator:

charty twende kwenye jukwaa letu tukafaidi za mwishomwisho
 
Last edited by a moderator:
safi sana..............behind every woman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…