TUPACified
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 1,367
- 604
Dah we mshkaji thread zako za wanyamwezi tu, umezaliwa lembe nini?
Lembe wapi,nikujifariji tu huku! Uswahilini ndio kwetu kwao,
Pia anaonekana ni mtoto mdogo saaana huyu jamaa au kama nimkubwa kiumri basi ni zile type za kina LEMUTUZ...
Lembe wapi,nikujifariji tu huku! Uswahilini ndio kwetu kwao,
Pia anaonekana ni mtoto mdogo saaana huyu jamaa au kama nimkubwa kiumri basi ni zile type za kina LEMUTUZ...
Style za wap hizo Bob? Kila mtu na starehe yake we kama una mind sebene ni wewe. Sasa hizo Diss za nini wakat mtu hata hamjuani au unafikiri wote wanakaa Uswahilini nini? Pigo za Foo sana Bob na si za ki Gentleman.
Waache wapunguze machungu yao man, watu kama hao wapo kila kona. Ukionyesha kukerwa nao, ndio wanafurahi
Style za wap hizo Bob? Kila mtu na starehe yake we kama una mind sebene ni wewe. Sasa hizo Diss za nini wakat mtu hata hamjuani au unafikiri wote wanakaa Uswahilini nini? Pigo za Foo sana Bob na si za ki Gentleman.
Mkuu TUPACified wanyamwezi wengi tu wamezingua kwenye game ndio maana wengine wameamua kufanya Mitkasi mengine ili waendelee kuwa na heshima ktk industry hii.
KRS One anakuambia ana Believe Respect sio Money. Jamaa niliyeona anarudisha game za kiWest ni The Game lakini daaah Nigga ananyoa KIDUKU mara aweke Bleech sijui nini huko nimemkataa kabisa.
View attachment 240843
Miyeyusho sana watu kama hawa ndio wana Reflect wenzao Uswaz wanaishi vipi japo hata kama sio wote. Na hizi sheria za #CyberCrime zimeletwa kwa watu kama hawa.
Lembe wapi,nikujifariji tu huku! Uswahilini ndio kwetu kwao,
Pia anaonekana ni mtoto mdogo saaana huyu jamaa au kama nimkubwa kiumri basi ni zile type za kina LEMUTUZ...
Nikiwa Chalii nilikuwa namchukuliaga Snoop kama definition ya Certified G, the G's G. Mshkaji made getting faded look cool, for us wanna-be Gz. Ila Jamaa siku hizi simuelewi kabisa, hata muziki anaofanya. Last time naskiliza ngoma zake alikuwa ana-spell tu jina lake almost kila ngoma. Mtu mzima anazinguana na ma-dame siku hizi kwenye mitandao ya kijamii, Gz never do that, matter-fact, Men shouldn't do that.
Jana nime-chill kitaa nikakutana na The Roast of JB, Comedy Central. Snoop alikuwa mmoja wa Roasters, kaharibu kinoma. Kevin Hart alimchana ki-utani ila alimaanisha sana tu, Snoop ni mtu mzima sana kufanya anayofanya saivi. Too much weed makes you stupid arif.
Btw, nilikuwa sijui kama Rappers nao wana-roast watu siku hizi.
mi sikuona tatizo kwene BiebersRoast, Kev hakumchana mchizi ile kama kumdiss ameongea mambo ya kawaida tu ya kwene roast. Hata hivo Shaq na Ludar walikuepo kwene hiyo roast proving again kua mtu yoyote anaweza roast. Kev aliponda snoop kutumia neno Nigger mara nyingi na pia aliponda jamaa alivokua ana generalize weusi wote kwenye kuvuta ganja na hitting bad bitches. Kuponda kule ndo maana ya Roast kama ulikua hujui, hakuna aliesimama pale na kumsifia mtu hata mmoja, Pete alisema " it feels good to be on a roast hosted by Shaq's Dick ( kev )" . Snoop has never been a hardcore hip hop artist, kwahiyo ukisema humuelewi sasa hivi umechelewa, ulitakiwa usimuelewe tokea mwanzo.
Snoop anajua anachofanya, kama umeangalia documentary yake ya reincanated utamuelewa why now days he acts this way, he had been there in most danderous hip hop era under hardest recording label, and still respected by both old guards and new comers.
He has nothing more to prove!
Haha thanx 4 the extra info on the Roast man, but i believe i knew enough, probably even more than.
Sidhani kama kuna popote niliposema Snoop was ever a 'hardcore Hip-hop artist', wala popote niliposema kwamba 'hardcore Hip-hop' pekee ndio nayoielewa my brother, basically, sijazungumzia chochote kuhusu 'hardcore Hip-hop'. Soma post yangu kwa utulivu utaielewa fresh, na ni mtazamo wangu tu.