M mozambiqueone JF-Expert Member Joined Sep 8, 2014 Posts 241 Reaction score 132 Jun 9, 2017 #1 Habari. Hii application nime download, ipo katika simu yangu na nimejaribu kuitumia sioni mafanikio. Je kuna mtu amfanikiwa kutumia application hii anipe uzoefu. Thanks
Habari. Hii application nime download, ipo katika simu yangu na nimejaribu kuitumia sioni mafanikio. Je kuna mtu amfanikiwa kutumia application hii anipe uzoefu. Thanks
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,287 Reaction score 72,516 Jun 9, 2017 #2 Wizi fulani hivi achana nao
M mozambiqueone JF-Expert Member Joined Sep 8, 2014 Posts 241 Reaction score 132 Jun 9, 2017 Thread starter #3 Joseverest said: Wizi fulani hivi achana nao Click to expand... Umeshatumia hii kitu
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,287 Reaction score 72,516 Jun 9, 2017 #4 mozambiqueone said: Umeshatumia hii kitu Click to expand... Hapana..niliona mrejesho wa wadau kwenye thread moja hivi hapa jukwaani
mozambiqueone said: Umeshatumia hii kitu Click to expand... Hapana..niliona mrejesho wa wadau kwenye thread moja hivi hapa jukwaani
M mozambiqueone JF-Expert Member Joined Sep 8, 2014 Posts 241 Reaction score 132 Jun 18, 2017 Thread starter #5 Joseverest said: Hapana..niliona mrejesho wa wadau kwenye thread moja hivi hapa jukwaani Click to expand... HIYO THREAD NAIPATAJE NISOME PIA NDUGU
Joseverest said: Hapana..niliona mrejesho wa wadau kwenye thread moja hivi hapa jukwaani Click to expand... HIYO THREAD NAIPATAJE NISOME PIA NDUGU
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,287 Reaction score 72,516 Jun 18, 2017 #6 mozambiqueone said: HIYO THREAD NAIPATAJE NISOME PIA NDUGU Click to expand... We isearch tu utaiona