Snake Bite - Morogoro

Atlantis

JF-Expert Member
May 24, 2015
383
509
Hello wanajukwaa. Natumai mu wazima. Nina rafiki yangu tulikua tunatembea usiku maeneo ya Morogoro Mvomero huko karibu na Mindu. Ghafla akang'atwa na nyoka ambaye hatukumuona, kama kawaida ikabidi tumfunge kamba juu ya mguu then tukamuwahisha dispensary ya karibu. wakamfanyia huduma ya kwanza kisha they gave her a few shots (don't know kama ni antivenom, I highly doubt so) kisha wakmtundika drip 3 hivi. Baada ya hapo maumivu yaka subside hivi, she was at least able to take steps. Hiyo ilikuwa the day after. Siku mbili badae the situation seemed normal before the lasterated area started swelling again afu kubadilika rangi so we took her to the hospital wakamchoma some shots. Now bado yuko hospital. I am very worried. Naomba niulize wataalamu humu what are the odds of her survival or loosing her limb? Nyoka wa morogoro most cases ni wale wadogo weusi.
 
Atapona usiwaze..nilishawahi kung'atwa n.a. nyoka

Nililazwa nikachomwa sindano karibia 30 (ampiclox) zilisaidia nini mie sijui maana mguu ulivimba sana na ukawa mweusi tii. .
Nikaomba niruhusiwe then nikaenda snake park (arusha) pale wana clinic ya watu walio gongwa na nyoka

Walinipatia dawa kulingana na nyoka aliye ni gonga. .wanashauri uende na nyoka aliye kugonga
Baada ya mwezi mmoja nilipona kabisa.

Km mguu ulivimba sana asiukanyagie maana ndo utazidi kuvimba

Angalia ili ujue ni dawa gani wanampa
 
Ujumbe mwema wenye elimu na nia iliyo njema!
 
Pole saana. Atakuwa ok soon . Kuna miili ya watu wengine kupoteza sumu ni taratibu. Ni suala la muda.

But muwe makini kuobserve changes yoyote ya gafla ili mmsaidie haraka.
 
dawa za asili mitishamba nazo ni muhimu sana kama hamja muona huyo nyoko....mngetafuta dawa za jiji husika maana nao hung'atwa mara kwa mara na wanajitibi bila kwenda hosptal
 
Back
Top Bottom