Daniel Mbega
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 338
- 180
SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar imenaonekana kuanza na neema kwa kutiliana saini na Serikali ya Sweden kuimarisha huduma za nishati ya umeme nchini wakati Rais Ali Mohamed Shein akizindua Baraza la Tisa la Wawakilishi.
Hafla ya makubaliano hayo ilifanyika Makao Makuu ya Wizara ya Maji, Ardhi, Nishati na Makaazi ambapo Katibu Mkuu wa wiazara hiyo, Ali Khalil Mirza, alisema kampuni ya Multi Consult ilishinda zabuni kati ya kampuni 12 zilizoomba kutekeleza mradi huo.
Kwa habari zaidi, soma hapa => SMZ yaanza na neema, yasaini makubaliano na Sweden kuimarisha huduma ya nishati huku Dk. Shein akizindua Baraza la Wawakilishi | Fikra Pevu