Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,424
- 170,629
Huyo nae hajielewi, ulikua unampa % ngapi vile.... Naziomba mie achana naeMahitaj yote mbna nilikua natimiza! Hela kila mshahara ukiingia nilikua Nampa % kadha lakn bado tu hakuridhka!! Jaman???
Ni bora unitulze maumivu kwa maana hata Jna lako tu (salt) linaonesha kwel wew ni chumvi ukiweka kweny mboga lazma utam ukoleeHuyo nae hajielewi, ulikua unampa % ngapi vile.... Naziomba mie achana nae
Hapo umepata mwenzako hilo halina ubishi.Kuna mdada ambae tumedumu kimahusiano kwa miaka mitatu Sasa, upendo wangu kwako ulizid kuongezeka kutokana na Ile Hali ya kumkuta bikra, nilimpa vyote alivyostaili kupewa mwanamke. Kilichonifanya niandike uzi huu ni baada ya mwanamke nimpendae kusafir kuelekea Dar kujiendeleza na masomo Yake. Juzi nilimtumia meseji nikamwambia nimemmis Sana lakn cha Ajab alionesha kutopendezwa na sms yangu na hvyo kunijibu"Nilijua una jambo la maana la kunieleza kumbe Hilo" Nifanyej wanajamvi kwa maana nimebaki njia panda
Inaniuma mwanaume wa dar kumla Janeth wangWanaume wa dar
Cjakuelewa mkuu, yaan Hao wanaume wa dar hadi mtaroni kule wanafika??Hapo umepata mwenzako hilo halina ubishi.
Mwanamke akienda dar asipoliwa huyo ww ndani. Dar huwa hawafanyi makosa, walivyo nadharau wanachimba na mtaro kabsa.
Ww komaa na maisha yako. Huyo siyo wako tena.
Aiseeeee......kumbePole.
Kapata mpya.
Ndivyo tunavyokuwaga tukimkinai mtu
Hata wew cute b uko kama yey?Pole.
Kapata mpya.
Ndivyo tunavyokuwaga tukimkinai mtu
Ndo walivyo wanawake wa leoAiseeeee......kumbe
Yeah....!Ndo walivyo wanawake wa leo
Wengi ndiyo michezo yao, na baada ya kuharibu hawaoi, wanapiga chini. huwa waongo sana.Cjakuelewa mkuu, yaan Hao wanaume wa dar hadi mtaroni kule wanafika??
Ndo walivyo wanawake wa leo