Je watanzania ni mbumbumbu kiasi kwamba Dr Slaa akijieleza kwa mdomo hatutamuelewa hadi kuandamana? Je, Dr Slaa akitoa kauli ya kuibiwa kura inatosha kuandamana bila na sisi kufanya uchunguzi binafsi? Tuwe na subira tupate maelezo ya kutosha kutoka kwa wanasiasa wenyewe kabla ya kukimbilia barabarani. Kesho Ijumaa ni mapema sana kuandamana tunahitaji tafakari pana ambayo kila wananchi ataunga mkono badala ya kukurupuka.
Good point, Acid! Mageuzi inatakiwa wawe smart. Huu upuuzi wa kukurupuka na maandamano yasiyo na kichwa wala miguuu, ni wakitoto, na ninaulaani kwa nguvu zote! Naamini kuwa kuna some irregularites kwenye tally zinaozendelewa kutolewa na NEC. Lakini hizo irregularities ni ndogo sana kubadili matokeo ya urais. Kikwete ameshinda kihalali. Jaribu kuangalia trend ya kura toka mijini na viijini utaona kuwa sehemu za mijini, Dr. Slaa amefanya vizuri sana; na sehemu za vijijini Kikwete amefanya vizuri sana. Na kwa kuwa vijijini ndo' kuna wapiga kura wengi na Chadema wameperform poorly huko, then convetional wisdom ni kwamba, CCM wameshinda kihalali. So we can sit here/waste the next five years complaining kwamba CCM wameiba kura, then 2015 ikafika bila hata ya kufanya marekebisho yoyote yale, ama tunaweza tukaamua kujipanga upya [kuanzia sasa] na ku-channel hii anger kwa ajiri ya uchaguzi ujao wa 2015 kwa kujiandaa vizuri ili basi nasi tuweze kutufanya vizuri zaidi kwenye uchaguzi huo, ikiwezekana tushinde kirahisi. [Think of it folks!]message hiyo ni ya kichochezi na haitofautiani na za akina shamte au yoyote ile tuliyokua tunailaani
watanzania tutambue kuwa utu wetu ni zaidi ya momentarily emotions zinazozunguka vichwani mwetu.... miaka mitano si mingi na kwa subira ushindi waweza patikana
nashauri tuache upuuzi huo, tujiunge wote wapinzani na wapenda maendeleo ya nchi
binafsi jumapili ntajiunga rasmi kujiandaa na 2015... sihitaji kupoteza ndugu, rafiki, mke, au watoto wangu kwasababu inayoweza kusubiri
damusi bei rahisi kama inavyotamkwa, ukifa hurudi tena lakini ukisubiri utaona kesho
time heals
Ibnabdillahi...elimu yako itakuwa ya Madrasati ndiyo maana most of u ur still poor, stupid and nothing. There will be no developemnt if we have such stupid people like u. Yo never reason, U never think, ispokuwa ni kubeba chochote anchosema shekhe wako au maalimu wako, that is nonsense. How dare can u vomit stupid things like these.....tunapozungumzia afya mbovu, elimu mbovu, how do we relate this with imani ya mtu? Be composed, be thinker please. Hii ni degree ya juu kabisa ya umbumbumu...............@ Acid is Banned: For ur information we all have families, lakini inapokuja kwenye suala la haki, nadhani we don't need to think about that. By the way majority of women hapa nchini wanhitaji purnishment kubwa sana, coz are the ones wanaoshabikia ujinga while at the same time wao ndio wanakabriwa na matatizo mengi sana ya nchi hii........itimke wapate akili stupid
naunga mkono and i will definitely be on the frontline:israel: