Sms toka TCU

zafryjuma

Member
Joined
May 22, 2015
Posts
94
Reaction score
0
Jamani kuna sms wame tuma tcu kupitia account zenu soma vzr n kuielewa kama uta ona ni poa utaweza ifanyia kazi asanten...
 
Jamani kuna sms wame tuma tcu kupitia account zenu soma vzr n kuielewa kama uta ona ni poa utaweza ifanyia kazi asanten...

we si utuambie ikoje iyo sms si atuioni mkuu.......ungefanya ivyo ungetusaidia
 
Hakuna nn w hujui kusoma au

Mkuu mbona unatoa taarifa nzito halafu unashindwa kuwaelewesha watu hujui kama kuna watu muda wote wanataka kuona wamechaguliwa kujiunga na elimu ya juu lakini wanaona mauzauza tu ya TCU bila kujua mustakabali wao? Jaribu kuheshimu hisia za watu kwa kutoa taarifa kamili
 
Hyo sms ina husu kwa wale wanao taka kubali vyuo na cozi kwa ata kaeee fanya haraka ndo ata saidiwa wa kwanza kutuma maombi n sh 30 ndo hayo tu
 
Hyo sms ina husu kwa wale wanao taka kubali vyuo na cozi kwa ata kaeee fanya haraka ndo ata saidiwa wa kwanza kutuma maombi n sh 30 ndo hayo tu
zoezi hlo bdo xana ,maybe 3rd round ipite.
 
wameandka 2 huo ujumbe lakn hakuna option ya transfer bdo.
 
zoezi hlo bdo xana ,maybe 3rd round ipite.

ata mimi nlitaka nishangae mbona admision bado hazijaisha afu transfer ianze !! kuna jamaa angu aliniambia kua iyo link ya transfer is not accessible......

labda mwanzisha uzu atolee maelezo vizuri kua pia inawausu watu gan 1st,2nd au na wa 3rd ...am damn getting confused dude....!!
 
hawasomi alama za nyakati c wafuatiliaj wa mambo na hawapend kujiongeza.
 
Ss m cjui ina wahucu wty gani...but nyie mjuee ilo tangazo nime lionaa
 
ss m cjui ina wahucu wty gani...but nyie mjuee ilo tangazo nime lionaa

tatizo sio kuliona je linafanya kazi au wewe umejaribu!?
Apo ndo utupe feedback sasa kwamba tayari au bado haifunguki.......
 
tatizo sio kuliona je linafanya kazi au wewe umejaribu!?
Apo ndo utupe feedback sasa kwamba tayari au bado haifunguki.......

Sija jaribu kufungua kwasababu cina cha kubadilishaa nime rizika walivyo ni panga
 
Sija jaribu kufungua kwasababu cina cha kubadilishaa nime rizika walivyo ni panga

Huna mashiko huna mpya inaonekana hata class BRN MBOVU WW NO RESEARCH NO TALKS, unakurupuka kuandika mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…