SMS settings | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SMS settings

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by JAYJAY, Aug 1, 2011.

 1. JAYJAY

  JAYJAY JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2011
  Joined: Oct 31, 2008
  Messages: 2,490
  Likes Received: 823
  Trophy Points: 280
  Salaam wandugu! kwenye settings za meseji naona kuna ''message validity'' ambamo humo kuna options tofauti mojawapo ni maximum, hivi ni nini kazi yake.? na kwenye message center number kuna namba ambazo ziko pale ambazo ni za kampuni ya simu ambayo ninatumia mtandao wake, je ninapobadilisha line na kuweka ya mtandao tofauti na ule niliotumia mwanzo, hii message center number huwa inabadilika?
   
 2. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mssage validity = muda unaotaka meseji yako imsubilie unaemtumia kabla hujajibiwa kama meseji imepokelewa au la. kama unakuta centre number imebadilika hasa kwa simu za kichina ifanyie editing uweke ya mtandao unaotaka kuutumia. simu nyingi zinaibadili auto jinsi unavyo badili simcard. wenye uzoefu zaidi watatusaidia
   
 3. JAYJAY

  JAYJAY JF-Expert Member

  #3
  Aug 1, 2011
  Joined: Oct 31, 2008
  Messages: 2,490
  Likes Received: 823
  Trophy Points: 280
  asante kwa info! sasa kama huo muda umepita bila meseji kupokelwa, je, nini kinatokea kwa hiyo message?
   
 4. l

  lulenganija603 Member

  #4
  Aug 2, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 99
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 15
  <br />
  <br />
  sms hiyo ukiwa muda bado hujapita kwenye report itakua pending na muda ukipita itakua failed!
   
Loading...