Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,110
- 2,787
biashara za wenzio unaita matakataka, sio Poa.Ndugu Mteja wa DStv, kuanzia 01/08/2019 SS4 haitakuwepo kwenye kifurushi chako. Endelea kufurahia maudhui mengi yaliyokuwepo SS4 kupitia SS9/SS10.
Wameshaanza tena kuwa kama hizi matakataka ya kibongo ,na mimi nilikuwa nawaamini sana Kwa huduma zao nzuri,
Naitamani DSTV lakini bei ya vifurushi vyao vyenye akili mmmh..ngoja nibaki Azam.Kifurushi cha 19,000 kinazidi kupukutika
NiniSasa tatizo nini hujaeleweka
Hii inatokana na SS4 kuanza kuonyesha mechi za EPL na Seria A msimu ujao wa ligi hivyo kuihamishia kwenye kifurushi cha Compact.Ndugu Mteja wa DStv, kuanzia 01/08/2019 SS4 haitakuwepo kwenye kifurushi chako. Endelea kufurahia maudhui mengi yaliyokuwepo SS4 kupitia SS9/SS10.
Wameshaanza tena kuwa kama hizi matakataka ya kibongo ,na mimi nilikuwa nawaamini sana Kwa huduma zao nzuri,
Azam wanaonyesha Epl ?Naitamani DSTV lakini bei ya vifurushi vyao vyenye akili mmmh..ngoja nibaki Azam.
Labda TBC wataonyesha EPLHii inatokana na SS4 kuanza kuonyesha mechi za EPL na Seria A msimu ujao wa ligi hivyo kuihamishia kwenye kifurushi cha Compact.
Hawaoneshi mkuu..Azam wanaonyesha Epl ?
Hao Azam wameshindwa kuonyesha AFCON ndio wataweza EPL?Azam wanaonyesha Epl ?
Mkuu hata kama unaipenda sana CCM tafadhali jaribu kuwa mkweliLabda TBC wataonyesha EPL